Kihovongan

Kihovongan (pia Kipunan-Bungan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahovongan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kihovongan imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihovongan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search